JE UNAIJUA NYUMBA YAKO YA BAADAE?
Mzee mmoja engineer alikua amekalibia umri wake wa kustaafu, baada ya kufanya kazi ya ujenzi kwa muda mrefu sana. Alikua anamalengo ya kushi maisha ya nafasi na furaha yeye na familia yake baada ya kustafu.
Alikua tayari kutopokea malipo yake ya cheki baada ya kila wiki aliyozoea, kwaajili tu ya Kustaafu.
Yule Mzee akaamua kuandika ombi la kustaafu kwa Bosi wake.
Mwajiri wake alisononeka sana kupata taarifa hizo, mfanyakazi wake mzuri anataka kustaafu. Yule Mwajiri alikwenda kumuomba Yule Mzee kama angeliweza kujenga nyumba moja ya mwisho kama personal favor. Yule engineer alikubali kufanya kazi hiyo ya mwisho, lakini ilionekana wazi kabisa kuwa moyo wake haukuridhia kazi hiyo, alifanya kazi kwa ubunifu na ubora wa chini na kutumia material dhaifu kabisa. Yaani ilikuwa wazi kabisa kuwa hana haja tena na kazi yoyote ya namna hiyo.
Alipomaliza kujenga, mwajiri wake alikwenda kuikagua ile nyumba. Alafu akamkabidhi funguo funguo za nyumba hiyo yule Mzee na akamwambia,”Hii ni nyumba yako,….zawadi yangu ya pekee kwako”
Yule mzee alizimia papo hapo.
Unaweza kufikiri ni kwanini yule mzee alizimia? Embu angalia kama angelijua kama alikuwa anajenga nyumba yake tangu awali asingeli tumia vifaa duni, ubunifu mbovu na asinngelipua kabisaaa!
Nini mawazo yako juu ya hii hadithi? Imekufundisha nin?

Comments